Once upon a time …
Date: April 15, 2023Venue: Nyumbani, BOT, Mbezi Beach, Dar es salaam
Date: August 26th, 2023Venue: Nyumbani, Kilongawima, Mbezi Beach, DSM
Date: September 9, 2023Location: Nyumbani, Makumira, Usa River, Arusha
Please let us know if you’ll be joining us for our special day
Mabibi na Mabwana,Tunawapenda na kuwaheshimu sanaUwepo wenu ndo kila kituIla tunataka kuwaomba kitu…
Mnapofikiria jinsi ya kutupongeza Tuchangieni twende uingereza Sio kama bongo pabayaIla tunataka kwenda ulaya
Tunaviombo, madeni china (made in china😉)Na vikororo vingine vya kila aina Usihangaike na maboxi ya zawadi Wala kuchagua maneno kwenye kanga na kadi
Hatutaki umize kichwa saaaana Kutupatia zawadi ya maanaSio kwamba zawadi nyingine ni mbaya,Ila tunataka kwenda ulaya
Hatuna mengi zaidi ya haya Tunatamani honeymoon ulayaTukiwa ugenini tukitumia pesa za kizunguContribution yako itapunguza uchungu!
Changia zawadi kwa kugusa hilo box hapo chini!